Safari ya Kuelekea kwa Mwenyezi Mungu

$5.00

Categories: , ,

Description

“Hakika nyumba ya kwanza waliyowekewa watu ni ambayo ile iliyoko Makka yenye kubarikiwa na mwongozo kwa viumbe.” Sura Aal ‘Imraan 3:96

 “Na watangazie watu hijja watakujia kwa miguu na juu ya kila mnyama aliyekonda kutoka kila njia ya mbali. Ili washuhudie manufaa yao na walitaje jina la Mwenyezi Mungu katika siku maalumu juu ya wanyama hawa aliyowaruzuku Mwenyezi Mungu basi kuleni katika hao na mumlishe mwenye shida aliyefukara.” Sura al-Hajj 22:27.

Kitabu hiki kinahusu safari ya Hija, hivyo, mwandishi ameelezea kwa ufupi historia ya Hija, kisha akaelezea maana, faida na matokeo kwa mwenye kufanya safari hii.

Ili kuyapata haya na mengineyo fuatana na mwandishi wa kitabu unufaike na yaliyomo humu.

Additional information

Weight 0.050 g
Mwandishi:

Mahdi Jaafar Sulail