Saada Kamili – Kitabu cha Kiada cha Maadili

$7.00

Description

Tukiwa katika jitihada za kuhuisha maadili ya Kislamu kwenye ulimwengu unaozama kwenye vurugu za anasa za kidunia na kuashiria kusahaulika kabisa thamani ya maisha ya binadamu ya milele – yaani Akhera – tulifikiria ni juhudi yenye manufaa alau tuchapishe muhtasari wa kitabu hicho.

Additional information

Weight 2 g
Mwandishi:

Mohamed Mahdi al-Narraqi

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Saada Kamili – Kitabu cha Kiada cha Maadili”