Description
Kitabu hiki, ni matokeo ya kazi ya kielimu iliyofanywa na Mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu, Sayyid Akthar Rizvi kwa madhumuniu ya kuisafisha Qur’ani baada ya kuona kwamba maadui wa Uislamu wameanza kuleta madai yasiyo na msingi kwamba Qur’ani hii tuliyonayo ina mapungufu kutokana na Aya zake nyingi kupotea baada ya Mtukufu Mtume (s.a.w) kufariki.
Reviews
There are no reviews yet.