Mizani ya Hekima – Sehemu ya Kwanza

$15.00

Description

Hapo mtu anaweza kujiuliza kwamba Kitabu cha Allah ni sawasawa. Lakini vipi Ahlul Bait? Jibu ni kwamba wao ni safi na Allah Mwenyewe Ndiye aliyewasafisha pale aliposema katika Sura ya Al-Ahzaab, aya ya 33:

“Hakika si mengineyo Mungu anataka kuwaondolea uchafu, enyi watu wa nyumba (Ahlul Bait) ya Mtume, na kuwatakasa kabisa kabisa.”

Additional information

Weight 910 g
Mwandishi:

Sheikh Muhammad Reyshahri

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mizani ya Hekima – Sehemu ya Kwanza”