Mashairi ya Kijamii

$5.00

Description

Mashairi ni sanaa muhimu sana katika jamii, katika kufikisha ujumbe wa aina mbalimbali, katika kuipa jamii taarifa zinazojiri ndani ya jamii yao, na katika jumuiya zao na ulimwenguni kwa ujumla. Ni kwa kupitia sanaa hii jamii huhamasishwa kushiriki katika masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo yao na ya nchi yao. Halikadhalika sanaa hii ni burudani maridhawa katika jamii inayohusika.

Additional information

Weight 0.105 g
Author:

Juma S. N. Mgambilwa

Mwandishi:

Juma S. N. Mgambilwa