Madhambi Makuu

$5.00

Out of stock

Categories: ,

Description

Mwandishi ameorodhesha madhambi yote makuu na akayapa namba kuanzia moja mpaka arubaini, kwa vile kitabu hiki ni kikubwa, sisi tumeona tukitoe katika juzuu moja moja, na hii ikiwa ni juzuu ya kwanza amabayo imekusanya madhambi makuu sita yafuatayo:

Dhambi kuu ya ushahidi wa Uwongo Na. 19
Dhambi kuu ya Uchawi Na. 31
Dhambi kuu ya Ufujaji (israf) Na. 32
Dhambi kuu ya kiapo cha uwongo Na. 18
Dhambi kuu ya kuficha ushahidi Na. 20
Dhambi kuu ya kutotimiza ahadi Na. 21

Additional information

Weight 230 g
Mwandishi:

shahid Dastaghaib Shirazi

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Madhambi Makuu”