Maana ya laana na kutukana katika Qur’ani Tukufu

$4.00

Categories: ,

Description

Shia wa sasa na wa zamani, wote wametuhumiwa kuwatukana masahaba na kuwalaani; na kwa ajili ya tuhuma hii wamepatwa na matatizo na machungu mengi baada ya kuhukumiwa kuwa wao ni makafiri. Jambo hili limefanya suala la laana na kulaani lifuatiliwe na watu wengi na wajiulize kuhusu ukweli halisi wa laana ndani ya sheria, hukumu yake na mipaka yake mbalimbali.

Additional information

Weight 125 g
Mwandishi:

Sheikh Abdul Karim al Bahbahani

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Maana ya laana na kutukana katika Qur’ani Tukufu”