Maadili ya Ashura

$8.00

SKU: Syed Jawad Naqavi Categories: ,

Description

Kitabu hiki ni safari ya kuingia ndani ya Karbala kwa mtazamo wa uwasilishaji kuhusu kadhia hii ambao haijawahi kutokea kabla. Mtunzi, Ustadh Sayyid Jawad Naqvi analiendea tukio la Karbala kwa mtazamo ambao ni wa kipekee kabisa lakini ulio muhimu sana kwa kuifanya Karbala kuwa ni ya ukweli wa kivitendo kwa ajili ya wanadamu katika zama zote.

Additional information

Weight 460 g

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Maadili ya Ashura”