Imam Hasan na Mfumo wa Kujenga Jamii

$5.00

Categories: , ,

Description

Katika kitabu hiki tutaona jinsi Imam Hasan (a.s) alivyoishi na jamii iliyomzunguka kwa upole, unyenyekevu na huruma, na jinsi alivyokuwa akiwahudumia wagonjwa na watu wenye shida mbalimbali bila ubaguzi wowote au kujali kama ni maadui au wafuasi wake.

Additional information

Weight 80 g

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Imam Hasan na Mfumo wa Kujenga Jamii”