Historia maana na lengo la Usalafi

$10.00

Description

Mwandshi wa kitabu hiki anaelezea kuhusu tapo hili la mwisho (Usalafi). Anaelezea kwa kina maana ya Usalafi (Salafiyyah), ulianzaje na lini, na athari yake kwa Waislamu. Tafadhali ungana naye ili upate kujua yaliyojiri katika historia ya Uislamu.

Additional information

Weight 190 g
Mwandishi:

Ustadh Sheikh Jaafar Subhani

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Historia maana na lengo la Usalafi”