Hekaya na Fikra

$5.00

Categories: ,

Description

Mkusanyiko wa visa hivi kwa ajili ya watoto unalenga kuimarisha misingi ya malezi na tabia njema katika nafsi za wanaokua kwa namna nyepesi yenye kuambatana na michoro ambayo inazatiti fikra na kuziimarisha, ambapo watoto watafanya kazi ya kuikoleza rangi michoro hiyo katika vibao katika hali ya furaha, kucheza na kuchangamka kutokana na fikra zake.

Nataraji kwamba watoto wapendwa watafaidika na kupata maisha mazuri na yenye furaha.

Additional information

Weight 0.045 g
Mwandishi:

Mahdi Ja'afar Sulail